Startimes wameondoa 'free channels'

Ni jambo jema, itasaidia kuupdate ubongo wa Watanganyika, walipe tu.
 
Matatizo unayo ww unatumiaje startimes? Hicho king'amuzi hata unipe bure sikitaki maana hata nikisema nikichukue nikauze hamna anaekitaka
Hilo n wazo lako mkuuu
 
Issue sio kutaka vya Bure Kwa nn star times waziondoe bila taaarfa na sababu Kwa wateja Wake huku ving'amzi vingne vikipewa free channels?
Wakati wanaleta mitambo yao walikutaarifu?Mkae kwa utulivu au lipia chaneli.Hamna maujanjaujanja.Tuchezee mboko tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiwapigia wanakujibu wajuavyo tu bila kujua wanavunja Sheria imeniuma Sana, yaaaan ving'amuzi vyote Tanzania wanaonesha free channels ila wao wanajifanya kuvimba vichwa, huu ni mwezi wa nne Sasa toka wazifute, ohhh my Tanzania.
Ukiwagusa umegusa sharubu za simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…