Jacobus JF-Expert Member Mar 29, 2011 4,681 1,698 Jul 29, 2019 #1 Wakuu, leo ni takriban siku ya nne kwenye king'amuzi cha Startimes 'channels' za kwetu ni 'no service', kulikoni?
Wakuu, leo ni takriban siku ya nne kwenye king'amuzi cha Startimes 'channels' za kwetu ni 'no service', kulikoni?
Shetemba JF-Expert Member Jan 20, 2018 887 890 Jul 29, 2019 #2 Jacobus said: Wakuu, leo ni takriban siku ya nne kwenye king'amuzi cha Startimes 'channels' za kwetu ni 'no service', kulikoni? Click to expand... Hala kumbe Nilizani kingamuzi changu ni kibovu
Jacobus said: Wakuu, leo ni takriban siku ya nne kwenye king'amuzi cha Startimes 'channels' za kwetu ni 'no service', kulikoni? Click to expand... Hala kumbe Nilizani kingamuzi changu ni kibovu