MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 351
Tatizo lenu hamna chanels za maana mfano clouds tv, zbc nk. Mtakosa wateja msiposahihisha hiliHabari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Nyota : 60,000/=Nataka kujua gharama za vifurushi kwa sasa maana nina muda mrefu sijatumua huduma hii
Zilizopo zinatosha, kama upo vizuri lipia cha 44,000.
44000Naombeni kuuliza; Unahitaji kifurushi cha Tsh ngapi katika dstv ili uangalie mechi zote za EPL?
Mimi nipo Dar nimelipia kifurushi cha 21,000 leo ni wiki ya pili sijaunganishwa naambiwa signal ziko chini,nimemtafuta fundi wao na yeye hadithi tu,nafikiria kuhama service ni poor sana.iweje ulipie kifurushi kuupdate iwe muda mrefu hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
mawasiliana ndo nini?kumbe mpo?muwe mnajibu basi wateja wenu.habari yako Imapro, tafadhari tutumie namba yako ya mawasiliana pia namba ya kadi kwa msaada zaidi1