No ya kadi ni 018 1938 4190. Nimekuwa nacharge tsh 9000 nilivyoelekezwa na mtumishi wenu mwenye simu no 0769025898. Ila nashindwa kuelewa muda wa kifurushi ni siku ngapi. Mfanyakazi huyu aliniambia ni mwezi mmoja. Lakini kila mara baada ya wiki 2 au 3 kifurushi kinaisha. Nashindwa kujua tatizo ni nini? Na sasa hata hiyo no ya simu nikipiga naambiwa haipatikani. Mf niliweka kifurushi mara ya mwisho tarehe 8 March 2017 nikaambiwa kifurushi kitaisha tarehe 5 June. Lakini tangu wiki iliyopita kama tarehe 19 kifurushi kilishakata. Ndo nafanyaje maana sasa naenda kwa majirani kutafuta habari.
Mimi nafurahia sana huduma zenu hata hivo kasoro ninayoiona ni kuhusu upande wa radio chanels zaTanzania hamna Mimi naomba kama inawezekana tuwekewe local chanels za radio za hapa TanzaniaHabari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Hawafai mi nimelipia wiki ya tatu sasa lakini hawajaingizaHawa watu wa hovyo kabsa
Huwez tumia maana ww una decoder tofaut na hy continental ni uelekeo tofautiJe naweza tumia dish moja lenye LNB MBILI NA MWINGINE ANAETUMIA CONTINENTAL DECODA?