Startimes smartphones for sale

Startimes smartphones for sale

M SQUARE

Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
14
Reaction score
2
Jipatie simu aina ya star times pamoja na warranty ya miezi 13 !!! Ikizingua , Mteja atatengenezewa bure kabisa !!

Camera - 13 MP
Memory - 12 GB
Ram - 1 GB
Android kit kat ( 4.4 )
Screen - 5 inches

" mteja atapewa POWER BANK, COVER NA PROTECTOR BURE KABISA !!!

BEI - 260,000

kwa maelezo zaidi - 0655 518090
 
Mteja atapewa cover , protector na POWER BANK BURE KABISA
 
Kwenye hizo simu wameunganisha na stations za startimes?
 
Tatizo Nyie ni ccm so hata biashara zenu hatuzitaki hamna usawa kwenye ving'amuzi vyenu channel ikionyesha upinzani mnakata matangazo.
 
Tatizo Nyie ni ccm so hata biashara zenu hatuzitaki hamna usawa kwenye ving'amuzi vyenu channel ikionyesha upinzani mnakata matangazo.

Hahahaha !!! Mimi nahusika na simu tu !!!! Ving'amuzi na TV sio idara yangu 🙂
 
Display Ni kama TECNO , HUAWEI etc


Mkuu hebu elezea vizuri zaidi, namaanisha hiyo Display inatumia technolojia gani? LED,AMOLED,HD au ipi? Ukisema kama Huawei hata huawei zinatofautiana quality ya display kutoka toleo moja hadi lingine Y320 sio sawa na P7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom