mkuu hawa watu wanakaba mpaka penati ilitakiwa waruhusu hii kitu kama mm nafaidi chenel moja tu ndio napenda emmanuel tv bac tayari wanaibania watoto wanafaidi katuuni angalau nimepunguziwa mzigo wa kununua dvd nafikiri kilichobaki kuchakachua hzo card zenyeweMkuu, Ni vizuri kuona wanafuatilia nyendo zako, ila kweli inasikitisha kuona wanabania program za free to air, hususan nyingi zikiwa za maadili ya Ulokole!
Mifumo mingi ya program inatumia Conax card hapa kwetu isipokuwa dstv wanaotumia Irdeto.
Hata hivyo tusikate tamaa, Ndugu zetu wa ATN wana king'amuzi ambacho kinarusha free to air channel zote 12, TBC1 ikijitegemea.
Uzuri wa ziada wa king'amuzi cha TING, kina facilities za kuwasiliana na kompyuta.......
Wakuu tujaribu frequency setup 570.
Pamoja na kuonekana 530 iko scrambled, ni mkongo wa TING ila wamejisahau na kupachika kifungo kwenye kurusha, ndio maana kingamuzi hiki cha startimes kinamengenyua hivyo, 'non conax....'
570 haiko scrambled, iko clear isipokuwa unaweza kuona 'chanel sivyo ndivyo', wanajiandaa!!!
Tuwapongeze wana maombi hawa, kwa kujitwalia TING a multimedia DTV Terrestrial Receiver.
jamani ebu nitoeni ushamba kidogo mnachakachuaje hicho kingamuzi cha star time cos mie ninacho na nina lipia kawaida 2 so ebu nipeni ujuzi wataaalamu
zinachachua through frequency 570.try!Wakuu big up sana kwa haya maneuver let me go to try, japo nasikia zile decoder za zamani(toleo la mwanzo during FIFA world cup) hazifai kuchakachua but nitaenda kutest na nitawajuza wadau
mkuu njia hii inachanel 10 na hazipo local chanel kama hii 530 na nikweli azina ile error
mkuu ni kwamba kunanjia ya kuchakachua na kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mchale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka mpaka itv ndani karibu ktk uchakachuaji
Mkuu weka ile link ya kuset hizi frequency nimetafuta nimeishia.. itafaa kwa bigginers.