Delacruzito
Senior Member
- Aug 5, 2019
- 148
- 164
Habari zenu wana JF, Je? Kisimbuzi cha startimes ina channel ambayo inaonesha league ya SPAIN (Laliga) Na inapatikana kwenye kifurushi gani?
Starimes hawana Laliga, bali wana BUNDESLIGA (Germany) pamoja na LIGUE 1 (France)
Zote hizo unazipata kupitia kifurushi cha (SMART) cha shilingi elfu 21,000/= kwa king'amuzi cha (DISH)
Kumbe LIGUE 1 ipo? Sijabahatika kuiona toka nimenunua mwezi wa tano,huonyeshwa chanel gan?
Ohoo,hivi startimes na azam yupi picha ni angavu kuliko mwingine?Nilisikia Ligue 1 imesitishwa kuchezwa labda tusubiri msimu ujao, ila huwa inaonyeshwa kupitia Startimes pekee
Ohoo,hivi startimes na azam yupi picha ni angavu kuliko mwingine?
39000 kisimbuzi hizo kitakua cha kulipia mie nataka cha FTA brother viko aina mbili jua hiloMkuu kama una king’amuzi cha Dish tumia HDMI, zipo channel zenye HD safi kabsa, pia Startimes wametoa Dekoda mpya ambayo imefanyiwa maboresho FULL HD (1080) kipo sokoni kinauzwa elfu 39,000/=kiko vizuri sana
Azam pia nae anajitahidi kutokana Na HDMI ila kiboko yao ni DSTV.
39000 kisimbuzi hizo kitakua cha kulipia mie nataka cha FTA brother viko aina mbili jua hilo
Ndio ni cha kulipia ila ukitaka cha FTA utatoa elfu 83,000/=
Ohooo sawa mkuu
Unalinganisha azam na huo uchafuOhoo,hivi startimes na azam yupi picha ni angavu kuliko mwingine?
Uchafu uko wapi? Pole sana utopolo huoUnalinganisha azam na huo uchafu
Unalinganisha azam na huo uchafu
Uchafu uko wapi? Pole sana utopolo huo
OvyooHajuia hata gharama ya Startimes huyo.
Hata ukinipa Bure sichukuwiKuwa mstarabu kwenye biashara ya watu, biashara yako ikiitwa uchafu utafurahia? Sema hutumii Startimes ndo maana unaongea hivyo, ebu nenda ukanunue dekoda yako mpya iliyotoka sasa hivi uone kati ya azam na startimes ipi iko vizuri?
Hiyo FTA ni nini?Ndio ni cha kulipia ila ukitaka cha FTA utatoa elfu 83,000/=
Hiyo FTA ni nini?
So FTA stand for what??FTA channel za Nyumbani. Kama itv,star tv, n.k