kilochindikipoporu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 244
- 208
- Thread starter
-
- #21
Inaandika hivi, You are not subscribed to view this channel.habari yako kilochindikipoporu pole kwa usumbufu ulioupata toka jana, tafadhari tambua kuwa, startimes tunaendesha kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika! Local chanel ni chanel zinazopatikana katika visimbuzi vyetu bure bila kulipia. Lakini pia TBC1 one ni chanel inayopatikana hata ukichomoa kadi yako, chanel hii lazima ionyeshe, sasa endapo chanel hazionyeshi ikiwemo TBC au chanel ya ST GUIDE, basi ujue tatizo ni mfumo wa mawimbi wa kingamuzi chako. Tafadhadhari tujulishe unapata ujumbe gani juu ya king'amuzi chako sasa!
habari yako, tafadhari tutumie namba yako ya smartcard kwa msaada zaidi!
Mawasiliano Hayo Mnayotupa Siyo Mazurihabari yako, tafadhari ukiwa na tatizo kuhusu startimes waweza wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0764700800 au
0677700800
au tutumie email
info.tz@startimes.com.cn
hello, ndugu kilochindikipoporu natumai namba yako ya simu inaishia tarakimu ...18 pole sana kwa usumbufu ulioupata, tafadhari mifumo yetu inaonyesha king'amuzi chako kiko sawa na inabidi kionyeshe chanel za nyumbani, tafadhari weka TBC1, kisha usubiri kwa muda wa dk 15, kama utaendelea kuona tatizo linaendelea tafadhari tujulishe, pia tujulishe unapatikana wapi!
ahsante na tunakutakia jumapili njema!
Mawasiliano Hayo Mnayotupa Siyo Mazuri
Bsdilikeni Startimes, Kampuni Nyingine Huduma Kwa Mteja Unapiga Bure
Sasa Hii Number Yenu Ni Kero Iwapo Huna Salio
Nakupa Mfano Bima Ya Afya Nhif Wana Number Ya Bure Inayoanza Na 080.......
Ambapo Mteja Akiwa Na Tatizo Anapiga Bila Malipo Yoyote.
habari yako, tafadhari fika ofisi za startimes zilizokaribu nawe kwa msaada kuhusu local chanel
Jana usiku nilikuwa natazama wasafi tv na trace mziki. Ajabu leo hizipo tatizo ni nini?hello, ndugu kilochindikipoporu natumai namba yako ya simu inaishia tarakimu ...18 pole sana kwa usumbufu ulioupata, tafadhari mifumo yetu inaonyesha king'amuzi chako kiko sawa na inabidi kionyeshe chanel za nyumbani, tafadhari weka TBC1, kisha usubiri kwa muda wa dk 15, kama utaendelea kuona tatizo linaendelea tafadhari tujulishe, pia tujulishe unapatikana wapi!
ahsante na tunakutakia jumapili njema!
Shida nyingine ni wao wenyewe, wanapandisha bei wakati wanajua wana chaneli za bure bila taarifa.Nilichogundua kwa haraka ni kwamba wa tz wakishabaki na channel za ndani ambazo ndio za bure basi hawalipii kabisa channel za ziada.
Sasa mjue hao startimes wana familia zinataka kula,kuvaa na kusoma pia.
Kwa hiyo lazima wajiongeze tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako, je unapata ujumbe gani juu ya tv yakoJana usiku nilikuwa natazama wasafi tv na trace mziki. Ajabu leo hizipo tatizo ni nini?
Me nauliza tu kwa nn Cloudstv haionekani vifurushi vya antena??? ,,wakat ni Local TV
Habari! Mbona mmetoa baadhi ya Channels kwa sasa hazionekani kamaHabari yako, je unapata ujumbe gani juu ya tv yako
Nenda TCRA ukawasilishe kero yako tena itapendeza ukiwa na risiti ya malipo uliyofanya.
Hata kama wana familia, ndo wafanye huduma za hovyo hovyo?.. Mimi mwaka jana waliniambia nilipe kiasi fulani kisha nitaona kombe la Dunia kuanzia mechi ya kwanza hadi ya mwisho, lakini wakaishia kurusha mechi moja tu kwa siku, na hiyo moja ndo ilikuwa inarushwa pia na TV1 huu ni upuuzi tu wa mchina.DSTV ndio kila kitu, wafanye hima kurejesha chaneli za ndani, ili tuachane na utapeli wa mchina.Nilichogundua kwa haraka ni kwamba wa tz wakishabaki na channel za ndani ambazo ndio za bure basi hawalipii kabisa channel za ziada.
Sasa mjue hao startimes wana familia zinataka kula,kuvaa na kusoma pia.
Kwa hiyo lazima wajiongeze tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi tangu jana sipati channel za ndaniHii kampuni ya startime inakotaka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha.
Nikawapigia huduma kwa wateja muhudumu akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka,
Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.
Sent using Jamii Forums mobile app