Inategemea na eneo au mkoa ulipo lkn kwa sehemu nilipo ving'amuzi vya antena havifanyi kazi. Lkn km umesoma vzr hyo post utaona kuwa hayo malalamiko hayo nimeyaripoti huko star times na majibu ndo hayo kuwa nilipie tena 77,000/-.Kwanini haya malalamiko yako hukuyatoa startimes, mbona mm nakitumia cha antena na kinafanya kazi. Wabongo bwana.
Huna lolote, unafanya promotion ya decorder za Azam tu... Kwani ilikuwa ni lazima ututajie Azam TV?...
CUF ya Lipumba au Shein??Jaman nani wataonyesha AFCON?.startimes au AZAM?,au TBC?.hawa TBC Si huwa wamapewa punguzo na CUF Kama station ya Taifa?,maana sioni matangazo na aina zozote za kuonyesha Mubashara.
na bado hata baada ya kununua hicho cha dish hutopata channel zoteJamani hawa wachina na kampuni yao wanachofanya ni utapeli na uwizi wa mchana kweupe.
Ishu iko hivi mm nilikuwa natumia king'amuzi cha antena vile vya mwanzo lkn ni zaidi ya wiki sasa havioneshi(no signal) nilipowapigia wakasema hvyo vya antena kwa sasa havifanyi kazi kinachotakiwa tupeleke kwa wakala hivyo ving'amuzi then watatupa vya dish na dish lenyewe but tuchangie kiasi 'kidogo' cha sh77,000/-.
Je hii si ni sawa na kununua upya tena? yaan king'amuzi kimoja unanua mara mbili hasa ikizingatiwa kuwa bei halisi ya kile cha dish ni 86,000/-
Kweli nimekubali cha bure gharama nimetangaza rasmi kuhamia azamtv utapeli huu hauvumiliki.
Ha ha ha ya mtu yuleee,CAF mkuu,Asante nilikuwa sijaona hapo.CUF ya Lipumba au Shein??
Bora Azam kuliko huo usumbufu wa star time hata kama unalipia hela ndogo.Azam utakimbia mwenyewe hamna kifurushi cha elfu 6 ni 15 kwendelea na channel ya bure ni tbc1
Hivi no ya huduma kwa mteja startimes ni IPI,naomba mwenye mawasiliano anipe namimi ni mhangaCha antena cha zamani nilikuwa napata local chanel zote bure,kuanzia juzi wamekata zote nimebaki na tbc1 na tv1 tu! Mmh!