startimes inachakachulika?

startimes inachakachulika?

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Wakuu,zamani nilikuwa napata zaidi ya channel zinazorushwa na startimes kwa kuingiza namba flani manualy,sasa zinagoma,je ipo namna yakufanya ili niendelee kuzipata???
 
Tuwekee kwanza ulizokuwa unatumia zamani.
Nilikuwa naingiza namba 530 na 570 kwenye manual searching halafu zinakuja channel Kama ishirini hivi,ila Kwa sasa hazikubali tena.
 
Bado ni hizo hizo mkuu hata me natumia

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
System upgrading, mnapotumia wachache haina noma, watumiaji wakizidi system hujiformat automatically na kujikuta wote au baadhi mnakosa
 
Nilikuwa naingiza namba 530 na 570 kwenye manual searching halafu zinakuja channel Kama ishirini hivi,ila Kwa sasa hazikubali tena.

Mimi natumia king'amuzi tofauti na Startimes, 530 inakamata ila 570 imegoma naona wameishutukia wakaibana.
 
Mtupe na za Zuku please!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
System upgrading, mnapotumia wachache haina noma, watumiaji wakizidi system hujiformat automatically na kujikuta wote au baadhi mnakosa
Nifanye nn sasa Mkuu ,ili nifaidi.
 
Startimes walishashtukia hiyo issue siku nyingi, haipo tena. Subirini mpaka ipatikane alternative nyingine. Tatizo watu kujitapa ingekuwa kimyakimya mpaka leo tungekuwa tunaenjoy.
 
Startimes walishashtukia hiyo issue siku nyingi, haipo tena. Subirini mpaka ipatikane alternative nyingine. Tatizo watu kujitapa ingekuwa kimyakimya mpaka leo tungekuwa tunaenjoy.
Ni kweli Mkuu,watu wanajisifu sana,ona sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom