Startimes hakuna za bure

Startimes hakuna za bure

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,585
Kwanini chanel za bure za kitanzania hazionekani katika kingamuzi cha Startimes mpaka zilipiwe. wadau naomba kufahamishwa
 
😂😂😂😂😂😂 we unatumia startimes ya wapi
 
Star times eatv,ch10,itv,tbc,staytv ni free of charge.
 
Natumia kingamuzi kipya kidogo,
 
Ving'amuzi vipya hakuna bure tena,usihangaike lipia ndio unaweza kuona
 
Ni kweli, nimepiga startimes nimeambiwa kwa kuwa nina kingamuzi kipya inayotakiwa kuonekana bure ni TBC peke yake, je hii ni halali

Ninacho cha startimes lakini siku wakisema hivo ntakitupa siku hiyo!!

Ushauri: hamia kingine wamelewa sifa
 
Sasa ina maana local channel tunachangia..ile hoja ya kila Mtu ana haki ya kupata habari ndo inakuwaje tena?
 
Ninacho cha startimes lakini siku wakisema hivo ntakitupa siku hiyo!!

Ushauri: hamia kingine wamelewa sifa
Umenisemea mkuu! Hata mimi siku wakifanya hivyo natupilia mbali, shenzi kabisa hawa CCM
 
Startimes wanabana. Usipolipia sometime wanazikata zote . Ukibahatika wanakuchagulia station tatu tu.. mimi ninapata startv, itv na eatv. Hata hiyo tbc sijaiona ni zaidi ya mwaka sasa!!
Kwanza kinasumbua sometime huoni chochote wiki nzima.. mpaka waamue wenyewe.. ni kero!!
 
Hapa ndio niliona January MAKAMBA hafai ata kuwa naibu waziri, hizi ishu zilikua kichukulia ujiko kwa WANANCHI,nakumbuka wakati wanaanza huduma za ving'amuzi walisema kila king'amuzi kitakua na chanel za nyumbani 'local chanel' lakini halijatimizwa mpaka Leo..nilishangaa pale alipochukua form ya Urais..

walisema local chanel ni free.. lakini ni ubabaishaji Tu
 
Startimes wanabana. Usipolipia sometime wanazikata zote . Ukibahatika wanakuchagulia station tatu tu.. mimi ninapata startv, itv na eatv. Hata hiyo tbc sijaiona ni zaidi ya mwaka sasa!!
Kwanza kinasumbua sometime huoni chochote wiki nzima.. mpaka waamue wenyewe.. ni kero!!

Mimi kwangu imebaki Tbc 1 Tu
 
Wateja qa dstv tushajizoelea sie. Wakikata wanaacha channel 2 za kichina tu.

Sijui tcra wanachukuaga kiasi gani cha mlungula hapo dstv yan hawasiki lolote
 
Tuache story nyingi.Tuwe na utamaduni wa kupenda kufanya kazi na kulipia huduma. Dunia hii mtu unataka free kabisasssssssaaaa.Sasa wenye vingamuzi na TV stations watapata wapi faida? mnataka wawekeze millions na waonyeshe freeeeeeeeee.TZ bana
 
Umeongea kishabiki! Hivi mbona hata kufutwa ada kwa kidato cha kwanza hadi cha nne hujajitokeza kupinga? Au hiyo siyo Huduma?
 
Tuache story nyingi.Tuwe na utamaduni wa kupenda kufanya kazi na kulipia huduma. Dunia hii mtu unataka free kabisasssssssaaaa.Sasa wenye vingamuzi na TV stations watapata wapi faida? mnataka wawekeze millions na waonyeshe freeeeeeeeee.TZ bana

Pia uwekezaji unaovuka mipaka nao ni shida.
 
Back
Top Bottom