Startimes decoder for tsh 50, 000/=

Startimes decoder for tsh 50, 000/=

Nipeni mimi hivyo vidude vyenu nikamhonge she mmoja hivi,
Kwa anaejua kidude chake kizima na bei poa tu-PM-miane basi.
But hope bei inajumuisha na Antena+Wire
 
Yapatikana wapi hiyo kitu kwa Dar?
 
bofya hapa uone raha!easytv.co.tz/services.htm
 
inabid watafute ufumbuzi kwa swla la kustuck aft every single minute
 
Star times wanakera kuliko maelezo... mi mwenye natafuta wa kumtwisha mzigo! Ebwana, atakayenunua mwambie atumike kuwatangazia wengine kuwa ipo nyingine kwa tsh 40,000 tuu!

Startimes hakuna kitu pale, michaneli ya ajabu hafu inastuck after every single minute!
Kama unatoa kwa 20 bila antena ni pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom