Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,628 Oct 9, 2011 #1 Msaada JFs, Gari yangu imeharibika starter, naomba mwenye kujua gharama na wapi zinapatikana anijuze kabla sijamwachia hela fundi akanipiga cha juu, au yeyote mwenye contacts za wenye maduka ya spares anisaidie. Gari ni Pajero io 1.8.
Msaada JFs, Gari yangu imeharibika starter, naomba mwenye kujua gharama na wapi zinapatikana anijuze kabla sijamwachia hela fundi akanipiga cha juu, au yeyote mwenye contacts za wenye maduka ya spares anisaidie. Gari ni Pajero io 1.8.