At one time, bussiness man Shahid Khan washed dishes for $1.20 an hour.He is now one of the richest people in the world, having $3.8 billion net worth.NEVER GIVE UP...!
Mpendwa weka imani kwa Mruzuku,Muihsani na Muumba..... Pokea mifano hii :- Bakhressa alikuwa muuza mbatata(viazi chemsha)... R.Mengi alikuwa accountant karani.... Dewji alikuwa muuza mazao..... Bill gates alikuwa Mfikishaji barua.... Mzee wa Oil com alikuwa Muuza nyama (mbuzi,kondoo,ng'ombe) !! Mstaafu Raisi wa Malawi Joyice alikuwa muuza mandazi !! Kwa hiyo ya huyu jamaa ni jambo la marudio na mapito tu ..... Nawe Utabarikiwa, Lakini ukipata uwemkarimu eenh !!