Stars Vs Ivory Coast

mkayera

Member
Oct 19, 2012
16
0
Baada ya dk 45 za kwanza; kufungwa 3-2 ni kawaida kwenye mchezo, lakini hoja ni kwamba kwa nini wachezaji wa Stars hufunga mabao mazuri sana lakini wanafungwa mabao ya kizembe sana pia? Tujadili.
 
Back
Top Bottom