Starehe yako ni ipi?

Now Kulewa na Kucheza mziki nacheza sana
Kuchat
Kulala
 
Oooh hallelujah tunafanana mm napenda zile gospel za live band, na tamthilia
 
Starehe yangu ya kwanza ni kulala. Ya pili ni kunya hasa mavi yakiwa malaini utatamani yasiishe yawe yanatoka tu 😍
 
Hivi huu mkoa wa Dar es salaam una mawe kweli au ni mkoa mwingine unazungumzia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…