Baada ya miangaiko yangu ya hapa na pale,huwa naenda maeneo yenye utulivu na kupata moja moto moja baridi,na kama nitapata nafasi najaribu kuosha macho hapa na pale kwa kuangalia maua ya dunia yanavyopendezesha mji.Najua kila mmoja ana starehe zake,eleza za kwako.......
Hi chit chat Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa Wewe je?
Hakuna starehe nzuri kama kuingia church moyo hauna hatia then kumuabudu Mungu hadi Mbingu na utukufu ni kama vimeshuka, unatoka job umechoka sana then unaingia gym piga zoezi la kueleweka jasho kila sehemu unakula then unaoga mwili na nafsi vinaungana hata ukilala unashtuka asubuhi yaani.
Walevi wenzangu ukiwa ofisini chukua bia weka kwenye mfuko wa ndani wa koti la suti alafu chukua mrija nyonya tungi taratibu Utapata raha na steam isiyoumiza
Ugomvi.. Napenda ugomvi lazima nikudunde au nirushie watu mawe na sikukosi nina shabaha Licha ya ulevi wangu
Kupiga makelele lazima usiku niimbe kwa sauti nisumbue watu
Kutukana watu yaani nikitoka bar lazima nitukane watu au niingie huku nitukane watu mfano we mtoa Mada nakutukana "hijo de puta "
Namalizia na pombee...hii ndo inanipa sababu ya kuishi
Maisha club ili hama pale Morogoro store ,ikaja makumbusho now ipo ITV.Club nyingine zipo masaki kama AVOC na Masion .Kwasasa umri umesogea Club sizijui kabisa bali huwa na enda kwenye bar za aina hizo nilizo taja hapo juu.