Acha kudanganya watu wewe... Sadaka ya kuteketeza mnyama Kwa njia ya kumuomba MUNGU inajibu haraka kuliko udhaniavyo, rejea sadaka ya Gidion baada ya MUNGU kumtokea kumpa kazi ya kuwakomboa wana Israel mikononi mwa wa Midian, rejea sadaka ya NUHU baada ya kutoka kwenye safina, tena hiyo inasema baada ya sadaka kuteketea ule Moshi ulipokua ukipanda juu, MUNGU akasikia vizuri ile harufu ya ule moshi wa sadaka, akashuka kumpa maagizo NUHU.
Starehe yangu Ni kufanya tafiti za Nguvu ya Mungu ambapo nina weka Madhabu yangu ndani na kufanya Sadaka ya kutezwa kama akina Abraham na huwa naonyeshwa kila ninachotaka kukiona kwenye macho kama vidoe vile.. hivyo hujisikia raha sana.