Starehe yangu bado sijaifikia ambayo ni kununua pikipiki kubwa kati ya Yamaha Super Tenere 1250cc Honda Africa Twin 1250cc Kisha niwe natembea popote ninapojisikia kama wale watu wa adventure wanaotoka Asia huko wanakuja mpaka Africa
Starehe yangu bado sijaifikia ambayo ni kununua pikipiki kubwa kati ya Yamaha Super Tenere 1250cc Honda Africa Twin 1250cc Kisha niwe natembea popote ninapojisikia kama wale watu wa adventure wanaotoka Asia huko wanakukua mpaka Africa
Starehe yangu Ni kufanya tafiti za Nguvu ya Mungu ambapo nina weka Madhabu yangu ndani na kufanya Sadaka ya kutezwa kama akina Abraham na huwa naonyeshwa kila ninachotaka kukiona kwenye macho kama vidoe vile.. hivyo hujisikia raha sana.