Starehe ya mwili

Akili kumkichwa ukilemaa umeachwa feri.
Aliyeuza cheni kauza cheni bandia, na aliyenunua cheni katoa fedha bandia.

Wajuba inabidi tutoe maelekezo chukua uber/bolt nitakuja kulipa huku😂🤣
 
mjini mipango na sisi tukila na kunywa tushakutia loss, baada ya kushiba tunaingia period yaani tit for tat
Hatukubali kukaa mgahawani, watu wanatujua watatuchora, twende room msosi tutaagizia huko huko..

Kwanza tuombe game, hakuna game hakuna msosi, ukigoma kabisa kutoa game, chumba kisiende bure, hela ya msosi tunaongezea kidogo tunaagiza mwali kutoka jamhuri ya telegram, au badoo.😂🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…