Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,492
Kibichi ama kikavu?
Kubangika loh ni maraha kwakweli moshi unapaa kama nyumba inaungua yani hadi medulla inafurahia
Moyo mweupeeee duniani kuna raha kwakweli
walale pema peponi marehemu wote