Kidasa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 309
- 109
Jamani asikuambie mtu,ili ufurahie maisha ni pamoja na kufurahia haja za nafsi yako,kitu kinachokuburudisha pindi unapokifanya au kufanyiwa.
Hapa nakuletea baadhi ya starehe kuu za mwanadamu na wewe utaongezea nyingine:
1.Kwenda Haja k..bwa.Hapa starehe inabamba pale ukute kitu imekubana haswa,sasa unapoishusha asikuambie mtu unapata relief moja kubwa,pembeni uwe na sigara huku unaendelea kushusha hayo majambozi,usisikie mtu wangu ni starehe moja ambayo haina mfano wake.
2.Sex. Ukute hujaikamata hiyo kitu kwa muda mrefu kidogo,let say hata week moja,halafu uikamate,chalii wangu asikuambie mtu ni starehe mwanzo mwisho,starehe inanoga zaidi wakati wa kushusha ile makitu meupe,Ayaaya acha bwana.
Mtu unaweza toa mingurumo hata simba hafikii.
3.Kula.Starehe inanoga pale ukute njaa imekubamba hasa na unapata msosi ambao moyo wako unaaufurahia.Kwa kweli hii nayo ni starehe kubwa sana kwa kiumbe mwanadamu.
4.Kutoa ushuzi.Ni starehe katika vitu vinavyompa faraja kiumbe yeyote.
5....... Ongezeeni wadau.