Hii ndo madhara ya kualika watu wenye ufahamu mdogo kwenye mijadala. Utaratibu huu unafanana duniani kote.Leo kipindi cha star tv tuongee asubuhi, amealikwa mwandishi Odelo charles Odelo kuzungumzia habari ya sensa. Dooh jamaa ameipinga sensa vibaya. Hoja zake ni hizi...
KUPIKA dataKweli kwamba tunaomba tuambiwe kazi ya mtakwimu wa wilaya ni ipi
Wewe uliishi ulaya ya wapi ukakuta watu wanapanda na kushuka maskaiskrepa kwenda kuhesabu watu!Hii ndo madhara ya kualika watu wenye ufahamu mdogo kwenye mijadala. Utaratibu huu unafanana duniani kote...
Sawa kabisa! Huu ni ujinga kutenga mabilioni kwa sensa? Ni njia ya kijima kabisa!Yuko sahihi kabisa kwa hoja hizo.sensa haiwezi kukuletea maendelele kama tunavyoaminisha na hawa viongozi feki...
Hata huko UK wanatumia questionnaire kupata data kutoka kwa kila household kila miaka 10. Households ndio hujaza hizo questionnaires.Wewe uliishi ulaya ya wapi ukakuta watu wanapanda na kushuka maskaiskrepa kwenda kuhesabu watu! Ungesema wao huchukua taarifa mara unapozaliwa na kufariki na kuzihifadhi, pia kila mtu anayeingia na kutoka anajulikana kutokana na matumizi ya anuani za makazi.
Ha ha haHata huko UK wanatumia questionnaire kupata data kutoka kwa kila household kila miaka 10. Households ndio hujaza hizo questionnaires.
Ha ha haHii ndo madhara ya kualika watu wenye ufahamu mdogo kwenye mijadala. Utaratibu huu unafanana duniani kote. Kuna baadhi ya taarifa zinaweza kukusanywa na maafisa takwimu lakini hili la kuhesabu watu hufanywa kwa staili hii duniani kote. Km kuna tofauti ni ndogo lakini lazima census workers wapite majumbani kuhesabu watu.