Star Tv ndani ya Azam Tv now

Star Tv ndani ya Azam Tv now

SELFISH

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
133
Reaction score
61
Hongera sana Azam kwa kutuletea star tv, ni chanel 113. pia wameongeza tv zimefikia 104, Radio station 18 ikiwemo Radio free Africa na kiss fm.
 
Hongera sana Azam kwa kutuletea star tv, ni chanel 113. pia wameongeza tv zimefikia 104, Radio station 18 ikiwemo Radio free Africa na kiss fm.

Bakhresa/Tido/Charles Hillary/Edo/Baruhan/James Range/Zainab CHondo/Adrian Hillary Step/Rehema Salim wametisha sana Azam TV kama E-Fm inakwapua frontliners tu.
 
Wakituwekea na EPL hata game moja live kwa wiki watakuwa wamefanya jambo la mbolea sana!.
 
Safi Sana Ngoja Ni-update Channels.
AZAM CHANNELS.jpg

STAR TV.jpg
 
Hongera sana Azam kwa kutuletea star tv, ni chanel 113. pia wameongeza tv zimefikia 104, Radio station 18 ikiwemo Radio free Africa na kiss fm.

Nilikuwa nimekibakiza King'amuzi cha Star Times kwa ajili ya Star TV na TV1 ,Tumpe Mda Mzee wetu Bakhresa na Timu yake pia wataongeza TV1 na Capitol TV.
 
Kwangu stat tv ipo ila haionyeshi na nimejiunga na kifurushi cha elf 20.
Kuna lolote lakufanya ili ipatkane?
 
Hongera sana Azam kwa kutuletea star tv, ni chanel 113. pia wameongeza tv zimefikia 104, Radio station 18 ikiwemo Radio free Africa na kiss fm.

Jana nimempigia agent wa Azam kama anaweza kunipatia king'amuzi cha Zuku maana nimefunga dish la Azam wiki inayoisha lkn sijaenjoy maana mawingu na mvua zimesababisha signal kupotea.

Vv
 
Back
Top Bottom