Star tv na Radio Free Afrika tatizo nini?

Star tv na Radio Free Afrika tatizo nini?

K M S

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
524
Reaction score
424
Ni siku karibu ya nn leo mnapatika kwa shida na wakati mwingine hampatikani kbs shida nini?kama mmo humu mtuambie
 
unanirudisha miaka ya nyuma kidogo ukiongelea RFA, kipind hicho nilikuwa kijiji flan hv, hamna FM radio inayoshika, kwahyo unapata RTD, Radio one na RFA kwanzia jioni masafa ya kati.
 
RFA sio radio ya kutegemea sana siku hizi haina ule ubora kama Wa zamani kuanzia Usikivu, vipindi mpaka watangazaji.
 
Back
Top Bottom