Kamlipe unadhani kipindi kinarushwa bure.
Kumbe muwalikwa ndio unalipia kipindi?Basi Dr Slaa anapesa sana
Kila mmoja anakumbuka kuwa Dr.Slaa na wengine waliohama CHADEMA mlikuwa mnawaalika kwenye vipindi vyenu kila wiki wakieleza kile kilichosababisha wao kuhama au kuacha siasa.Mbona mzee Kingunge haiwi kama wengine ukizingatia huyu mzee ni nguli ktk siasa na chama chake mwenye kadi namba 8?

Hii tv itafuata nyayo za tbc
wewe unaweza kujitia jichoni kidole