STAR TV LIVE: Mamlaka ya Bunge la Katiba

STAR TV LIVE: Mamlaka ya Bunge la Katiba

Hakuna chombo duniani chenye uwezo wa kupinga maoni ya wananchi !

Kazi ya BMK ilikuwa ni kuangalia namna ya kutekeleza maoni ya wananchi ya s3 na sio kuyapinga au kuja na rasimu mpya
 
Naona wanasheria wa kizazi kipya wanavyobishana ndio Najua kuna matatizo ya elimu mtu hana hata mshipa wa AIBU anasema taftiri hiyo siyo wakati ukisikiliza ni ndio Yaani hata siwaelewi na ndio maana hata kwenye kanuni na kificho alipata tabu maana unaona lkn unakataa
 
bwana happy ametuangusha ameshindwa kutoa jibu rahisi tu la mantiki ya neno shall kwenye kifungu 25 sub 1 & 2 badala yake anasema vifungu vingi tu vina neno shall. hapa nakubaliana na wale watu wenye akili nyingi wanaoitwa wahenga kuwa kwenye ukweli uongo hujitenga
 
Back
Top Bottom