star tv leo mmetukera sana

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
kwa kitenda cha kualika waandishi vibara ambao ata mpaka ya taaluma yao hawajui.kwny kipindi cha tuongee upande wa dar.mtu anatumia tv kutangaza gazeti lake.hivi huyo balile kilaza amesoma wapi!.star tv tunawaheshimu sana msilete v4baraka hapo
 
ni vibaraka wa nani/nini ? fafanua mkuu
 
wa wanasiasa si tunataka watu wenye utaifa kama ilivyo star tv.si huja jamaa anaonekana ana njaa tu
 
unachuki na nani kati ya star tv na huyo mwanahabari? wengine umeme hakuna hatujui kilichojadiliwa ,weka vizuri hoja yako usiwe kama ccm mmeanzisha kuvua gamba leo mna kana siku 90 zimekwisha zamani
 
Nijuavyo startv ni ya Mheshimiwa Diallo (kada wa MAGAMBA)...sasa wewe unategemea nini hapo??
 
Kimboka ni hivi. D/ Chris katoa hoja kwamba describe! Umejaribu kufafanua bt still ufafanuzi wako haujaonesha kidhio toshelevu sanjari na heading yako, vingevyo itapelekea speculation labda mna migongano/mikwazano ya kimaslahi baina yenu, e.g labda hilo gazeti alilohusishwa nalo (Jamhuri) pengine laweza kua tishio la gazeti unalohusika nalo wewe! Angalizo source ya haya ni mawazo yng baada ya kua "Tuongee asubuhi" Star nimeckiliza na nikaperuzi thread yako.
 
Back
Top Bottom