Star TV kwenye King'amuzi cha AZAM

Star TV kwenye King'amuzi cha AZAM

kesho sa ngapi mkuu?

Saa mbili na nusu usiku mkuu. Kama unavyoona hapo wanaonesha marudio ya chelsea. ImageUploadedByJamiiForums1408996319.620422.jpg
 
mi startv wamenchefua kukatisha tamthilia ya be careful with my heart(Maya)bila taarifa yoyote hlf n mwezi sasa kisa tununue king'amuzi chao,chanel zote zikifanya hivyo tutakua na ving'amuzi vingapi majumbani.
 
Hiyo ndio tabia yao mkuu, inapofikia hapo huwa siwapendi kabisa. Inabidi wajue kwamba si wote wanaoipenda TV yao wengi ni wale waliotoka mwz labda na mikoa ya jirani, sasa angalau wakiweka tamthilia kidogo inabidi uiangalie. Waweke ile toa maoni ile wajue upungufu wao kama ITV wanavyofanya
 
Eti kuna mtu anatafuta super sport 3 kwny azam tv kweli wa tz mmenchosha khàaa.unanunua mahindi alf unalalamika mbona maharage hamjanipa kama c uchiz ni nni? Sasa kama unataka Ss 3 si ununue dstv
 
Back
Top Bottom