Hawajaklubaliana mikataba ya kurusha cHannel hiyo.
Maana bado wananadi Dikoda zao,ila zimedoda.
Watabana lakini wataachia,maana IPP media alizingua mwisho kasalimu amri.
Maana hata wanaoleta Matangazo wanaangali wigo wa Muonekano wa chombo chenyewe.
Na Star Tv mradi wa Dikoda ni kama ile ndege yao walioleta ya Community Airline iliokufa kifo cha chura,sasa ndio hii habari ya Dikoda zao za Kontinental ambazo waliingiza pesa na hazijaridi na wanunuzi wamemaliza shopping.Sasa wanaona wakiingia kule basi wameisha.
Mie kwenye Start Tv nime miss Futuhi tu basi,mengine ni ya kawaida.
Kwanza Muandishi wao Mahiri wa Habari Yahya Mohammed nimemuona leo AZAM Tv kwenye kipindi cha Trumpet asubuhi,nikasema nahuyu kahamia AZAM Tv basi kazi ipo sasa.