visidady
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 157
- 68
Hakuna tv station ninayo ipenda kama star tv wao ndo wamenifanya nipende tamthilia za kifilipino waandishi wa habali mahili hasa samadu hassani na pamoja na dira ya dunia NAOMBA SERIKALI WAINGILIE KUTATUA HILI TATIZO AU BIBI YULE WA HAKI NA SHERIA BISIMBA pia huku nako haki zetu za kupata habali zuri tunakosa