Lyatuu the Great
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 212
- 85
Startv imepotea kwenye king'amuzi cha digteki kwa siku 4 sasa.wadau je kwenye ving'amuzi vingine star tv ipo?
Walitangaza watarejea pindi mitambo yao itakapo kuwa smart zaid!.Ni siku 4 sasa hawapo hewani je marekebisho yao walitangaza ni kwa muda gani mkuu?
Hiyo TV haina mpango walishapoteza mvuto toka mwaka jana hata habari zao hazipo fare ni siasa tu ya ccm ! Huyo mkuu wao bora abadili mwelekeo wa matangazo vinginevyo watabakia kutangaza matangazo ya akina ndodi na mitishamba tu ! sisi huwa tunaangalia kipindi cha michezo na futuhi tu !! Ilifika taarifa ya habari iwe bar au hotelini au nyumbani utasikia watu wanasema toa hiyo weka ITV ! Wamekwishaaa na siasa zao kusifia ccm !!Inavipindi vizuri na haswa tamthilia zake ni nzuri sana na ukija futuhi alhamisi nimeimisi kwa kweli star tv
Watu mnamaneno makaliHiyo TV haina mpango walishapoteza mvuto toka mwaka jana hata habari zao hazipo fare ni siasa tu ya ccm ! Huyo mkuu wao bora abadili mwelekeo wa matangazo vinginevyo watabakia kutangaza matangazo ya akina ndodi na mitishamba tu ! sisi huwa tunaangalia kipindi cha michezo na futuhi tu !! Ilifika taarifa ya habari iwe bar au hotelini au nyumbani utasikia watu wanasema toa hiyo weka ITV ! Wamekwishaaa na siasa zao kusifia ccm !!
ipo azamStartv imepotea kwenye king'amuzi cha digteki kwa siku 4 sasa.wadau je kwenye ving'amuzi vingine star tv ipo?
Hatari basi kama wanasema Toa hiyooooo Weka ITV ni noma sana... pia picha huonekana kama ina ukungu mwingi sijui huwa wanashutia juu ya Mawingu! ukizoea kitizama HD na ukatizama Startv unaweza dondosha machoziHiyo TV haina mpango walishapoteza mvuto toka mwaka jana hata habari zao hazipo fare ni siasa tu ya ccm ! Huyo mkuu wao bora abadili mwelekeo wa matangazo vinginevyo watabakia kutangaza matangazo ya akina ndodi na mitishamba tu ! sisi huwa tunaangalia kipindi cha michezo na futuhi tu !! Ilifika taarifa ya habari iwe bar au hotelini au nyumbani utasikia watu wanasema toa hiyo weka ITV ! Wamekwishaaa na siasa zao kusifia ccm !!
Wamerudi kwa king'amuzi gani?Wamerud ila hawana saut