kwa kweli hata mimi nina shida sana na hiyo dekoka ya startimes,kwa hiyo kama kuna mtu anacho na anakiuza kwa bei ya kumudu mtanzania wa kawaida basi aniPM haraka iwezekanavyo.ZINGATIA: Kiwe kizima na kiwe kimekamilika pamoja na remont control yake. please nipo serious nahitaji.