star times mnabore | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

star times mnabore

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wizzo, May 3, 2011.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  this is too much,mbna 2nawalipa hela 9000 kila mwez lakini mnatufanyia uhuni? Imagine hamna chanel hata moja inayoonesha uefa league! Arusha kbc1 haishiki ,sibuka wanaonesha movie,sasa cc 2naangalia mpira wapi.acheni wizi wa kijinga usio na maana,mnatujazia chanel zenu za chna zna2saidia nn cc...wana jf embu nambieni kama kuna ving'amuz vya maana niachane na hawa wahuni star times
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mwenzenu niko na king'amuzi cha TING nakula LIVE TU hapa kupitia KBC na ATN.
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  wanakera kama nn, mi nahis wamefanya kusudi...haiwezekani sibuka waoneshe movie na kbc1 no service af mchezo ukiisha utaiona kbc1 inarudi hewani...
   
 4. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  yani mi nmemind sn,ngepata namba za cm ya mkurugenzi wa star times ngemtukana sana...haya ni makusudi 2tahamia ting...pumbavuuu
   
 5. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  mi mwanzo nlidhan ni changu 2 ndo hakishki kbc1,kumbe vyote havishiki,haya ni makusudi
   
 6. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  poleni sana wandugu
   
 7. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  hakuna cha kupoa,tayari nmeshakosa kuangalia gem ya muhm leo...ole wao kesho 2cone gem ya man u watanrudishia hela yangu ntakichukia king'amuzi 4rever
   
 8. M

  Mr D47 Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnapenda vya rahic chukuen dstv
   
 9. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu tumetofautiana uwezo
   
 10. m

  mob JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 509
  Trophy Points: 280
  mimi nallia na serikali kwa nini hawa jamaa hawalipi kodi ya VAT au ni mradi wa watu. jamani anaglieni risiti zetu hawa watu hawalipi mapato je TRA ivi vile vifaa vya kodi hawajapewa au
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Labda ni kbc1 ya kichina hiyo, sio ya Kenya!!!!

  Kweli wachina hawaaminiki hata ukiwaamini.
   
 12. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tanzania ni dampo la wachina,kila takataka wanatuletea..hata hiyo star times ni takataka yao pia,haina ubora!!
   
 13. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kwa kunasanasa sasa hata raha haina:A S cry:
   
 14. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #14
  May 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nijuavyo mimi ni kuwa vitu vinavyohusika na technolojia kama computers, printers etc huwa hazina vat nadhani na decoder zitakuwa kwenye kundi hilo.
   
 15. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mi jana ndo nimefunga star times, nikaambiwa wataonesha mechi ya mpaka naenda kulala walikuwa wakionesha vichekesho tu, kweli wadau tuelekezeni wale wanao onesha mpira na si katuni
   
 16. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapuuzi kweli. tatizo la hawa jamaa ni washirika wa TBC. mambo yao yanaenda kichama-chama. jana wamenigandisha nasubiri EL-Classico kumbe cheche. Waliondoa NTV bila maelezo ya kutosha na haijawahi kurudi.

  kuna jamaa wanajiita EASY TV wana ving'amuzi poa sana. Ila inahitaji uwe na angalau kilo na nusu kukipata. kina channel zote za maana. Kama kuna local channel isiyokuwepo si zaidi ya 2. nawanyemelea.
   
Loading...