Star Times inaboa

Star Times inaboa

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Ni imani yangu kuwa mtakubaliana na mimi kuwa Star Times hawana jipya na kuwa chaneli zao zinaboa ile mbaya! Ni mwezi wa tatu huu sijanunua vocha, infact nafikiria kununua dish. Ushauri wangu ni kuwa wateja wa Star Times tugome kwa pamoja kununua vocha hadi hapo watakapoboresha huduma yao.
 
Wanakosa creativity ideas za Tido Mhando waliyeondolewa na serikali kwa mizengwe! Muda si mrefu watarudi kwenye TVT. Haya ndiyo matokeo ya kuendesha asasi za kitaalamu kisiasa.
 
Hawana ubunifu hata kidogo mi nimeacha kabisa kulipia nataka sikumoja nilivunje mbele ya ofisi zao wajue
 
Mi nsha goma kitambo

............................................................
kwa sasa nina kama mwezi wa nne sasa sijawahi kulipia...nimekiweka ktk list ya hasara niliyopata ktk mwaka wa fedha 2010/2011
 
Hawana ubunifu hata kidogo mi nimeacha kabisa kulipia nataka sikumoja nilivunje mbele ya ofisi zao wajue
SIKU UTAKAYOENDA OFISINI KWAO UNISHTUE TWENDE WOTE TUKAYAPASUEPASUE ntajitahd nije na waandish wa habari
 
mie nimegoma muda mrefu sasa kutumia star timez! natumia dstv
 
inaboa mno. chanel zenyewe za kifaransa tu hata hazieleweki.
 
Back
Top Bottom