Star times D 2

Star times D 2

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,906
Reaction score
2,699
Kwa yeyote mwenye king'amuzi cha star times aina ya D2 Plz nipm tuongee biashara nahitaji kukinunua
 
waliwahi kusema eti ving'amuzi vya moro vinatumika moro na znz tu,binasfi nilishuhudia king'amuzi cha arusha kikishindwa kufanya kazi morogoro,hao ndio star times tuwe makini nao
 
zingatia sana kama kisimbusi chako ni t1 akiwezi kufanya kazi kwenye t2. Ila t2 inafanya kazi kwenye t1. morogoro ni t2
 
thanx,tutaendelea kuumizwa na hizi teknolojia hadi basi yani provider mmoja anakuwa na aina mbili za decoder
 
waliwahi kusema eti ving'amuzi vya moro vinatumika moro na znz tu,binasfi nilishuhudia king'amuzi cha arusha kikishindwa kufanya kazi morogoro,hao ndio star times tuwe makini nao

King'amuzi cha startimes kinafanyakazi sehemu yeyote yenye signal yao. Unachotakiwa kufanya kila unapobadilisha mkoa inabidi u scan frequency upya. Sababu kila mkoa frequency band zinatofautiana kutokana na leseni waliyipewa na TCRA.
 
mh labda,ngoja waje wengine ambao walijibiwa na startimes kuwa ili uone matangazo kwa morogoro wakati wanaanza ilikuwa lazima ununue king'amuzi moro au zanzibar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom