Jameni tumechoka kunyanyaswaaa....yn huna raha na tv...unaangalia kitu ..mipicha inaganda ganda..nyambaaafu zenu eti serikali sikivu...sikivu my a..s s...rudishen analogiii
Tangu wamahamia makongo na TV nimeweka store. maana no signal no service. Wanatunyima haki yetu ya kupata habari na serekali yetu isiyosikia imekaa kimya!!!!!!!!!! hayawahusu wao wana DSTV. tutajiju na umaskini wetu.
hii kitu inaudhi sana, yaani taarifa ya habari inaanza tuu, mambo yanakua NO signal zaidi ya nusu saa, ikirudi habari zimekwisha, mmh hata kama maendeleo yanagharama hii ni kubwa!!!! kweli ni wakati wa kuona nyota nyota kama jina lake lol!!