Aisee namtafuta MTU ambaye anaitwa john ambonise au ukoo au familia ya bwana john ambonise alishawai kuwaga dokta mifugo pale magomen dsm wizarani...na aliwai kuishi namanga kwa ndugu yake yeye ni MTU wa mbeya anaitwa JOHN AMBONISE

Ni mda mrefu tangu mwaka 2004...na pale wizaran wengi washabadilishwa badilishwa wengne so wengi pale ni wapya awamjui na kule namanga nyumba iliuzwa walipohamia kwa uyo MTU aliyekuwa anakaa nae