COARTEM JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 3,622 Reaction score 3,696 Jan 21, 2019 #1 Kabla ya kuita viongozi kuzindua miradi watu wajiridhishe na maandishi yaliyoandikwa kwenye bango kama ni sahihi au la Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuita viongozi kuzindua miradi watu wajiridhishe na maandishi yaliyoandikwa kwenye bango kama ni sahihi au la Sent using Jamii Forums mobile app
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Jan 21, 2019 #2 COARTEM said: Kabla ya kuita viongozi kuzindua miradi watu wajiridhishe na maandishi yaliyoandikwa kwenye bango kama ni sahihi au la View attachment 1000785 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dah, ina maana na ukubwa wote huo wa maandishi hawakuona hio mistake? Au wameandika kiengereza cha kituruki?
COARTEM said: Kabla ya kuita viongozi kuzindua miradi watu wajiridhishe na maandishi yaliyoandikwa kwenye bango kama ni sahihi au la View attachment 1000785 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dah, ina maana na ukubwa wote huo wa maandishi hawakuona hio mistake? Au wameandika kiengereza cha kituruki?
COARTEM JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 3,622 Reaction score 3,696 Jan 21, 2019 Thread starter #3 Shark said: Dah, ina maana na ukubwa wote huo wa maandishi hawakuona hio mistake? Au wameandika kiengereza cha kituruki? Click to expand... Hii ndiyo Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
Shark said: Dah, ina maana na ukubwa wote huo wa maandishi hawakuona hio mistake? Au wameandika kiengereza cha kituruki? Click to expand... Hii ndiyo Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,455 Reaction score 872,088 Jan 21, 2019 #4 COARTEM said: Kabla ya kuita viongozi kuzindua miradi watu wajiridhishe na maandishi yaliyoandikwa kwenye bango kama ni sahihi au la View attachment 1000785 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tunazindua vingi muda ulikuwa finyu hivyo hatukujali sana hilo tatizo dogo la maandishi Jr[emoji769]
COARTEM said: Kabla ya kuita viongozi kuzindua miradi watu wajiridhishe na maandishi yaliyoandikwa kwenye bango kama ni sahihi au la View attachment 1000785 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tunazindua vingi muda ulikuwa finyu hivyo hatukujali sana hilo tatizo dogo la maandishi Jr[emoji769]
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,026 Reaction score 77,370 Jan 21, 2019 #5 Mtu Hata England Hajafika Andikeni Swahili
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 30,049 Reaction score 47,746 Jan 21, 2019 #6 Mbona Walisema Mambo Yote Yataandikwa Kwa Kiswahili Kuanzia Mahafali Ya Chuo Kikuu?