:A S-baby:nashanga kuona mji ambao ni makao makuu ya nchi,mji ambao bunge la nchi linafanyia vikao vyake pale sitand ya basi kuwa kama ile ,hata kama wanampango wa kuhama inawachukua muda gani ni aibu tena nasema ni aibu sehemu ni ndogo, haina mpangilio mzuri,watu wanapika vyakula kwa kuzunguka stand iliyo ndogo inatisha wahusika walione hilo