Elections 2010 Stand Up for your right

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
CUF wakikata mbuga. Shiriki katika kuing'oa CCM na uwemo katika historia.Linda kura yako kwa hali yeyote ile.

 
Last edited by a moderator:
CUF wakikata mbuga. Shiriki katika kuing'oa CCM na uwemo katika historia.Linda kura yako kwa hali yeyote ile.

Mbinu za kulinda kura ni zipi? Ninavyojua kwa mujibu wa Sheria zetu za Uchaguzi ukimaliza kupiga kura ukitaka kubaki kituoni lazima uwe mita 100 au zaidi kutoka kwenye kituo chenyewe. Kura huwa zinaibiwa hasa wakati wa kuhesabu na kujumlisha. Huko nyuma mawakala wa vyama vya upinzani walikuwa wanatishwa na vyombo vya dola wakati wa kuhesabu au hata kufukuzwa kabisa. Uchaguzi wa 2000 nilipita vituo vingi jijini Dar es Salaam siku ya pili baada ya siku ya kupiga kura. Matokeo mengi yaliyokuwa yametundikwa kwenye vituo yalikuwa na sahihi za mawakala wa CCM peke yake. Na bado yalichukuliwa kama matokeo halali. Halafu kuna swala la njaa. Tumeona baadhi ya wagombea wa upinzani wakishindwa kurudisha fomu au kujitoa baada ya mafisadi kuwalambisha. Hivi mawakala njaa njaa wakilambishwa si wataachia tu? Kwa hiyo slogan ya LINDA KURA haitoshi. Tuelezane ni ipi mikakati ya kuzilinda. Serikali/CCM wameisha jiandaa na mabomu ya machozi na FFU wameshamwagwa sehemu zinazojulikna korofi kama Busanda. Siku ya siku anaweza kutolewa mtu roho ili CCM idumu.
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba video original bila ya huyo mvuta bangi. :becky:
Kudadadeki ,hapo hamna kosa bangi huko kwao ni normal au imekuwa nomarlized au legalized kama Holland nako ni kawaida tu ,hakuna matata ,sasa huyo ni mtu wa misimamo kama walivyo CUF ,wapo tayari kwa lolote pale inapobidi.Na wapo ngangari kama alivyo Bob ,hakufanya kosa kujilinda dhidi ya Sherrif Bronson ,analwambia ni self drffence na kama anakosa au amekosa basi yutayari kupokea hukumu ,so the CUF people are the with the same idears.kudadadeki !!:lol:
 
Back
Top Bottom