mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
nipo viunga vya kariakoo kuna habari kuwa simba wamekamilisha kila kitu kuna ushindi wa goli tatu kesho cha ajabu mpaka idadi ya magori wanajua

Waulize mgambo walichofanywa..
Mleta mada tuthitishie hayo maneno yako otherwise you're a RUMOUR MONGER
Mikia mko wapi!!!!!!!!