Stand Mpya ya Mabasi Arusha Usipime..

Ingelikuwa ni Chato kuna miroboti humu ingelalamika sana.
Wewe umeishaathirika na mawazo Ya kisiasa, fanya mambo mengne siasa hata Gaddafi aliziacha akina Yule wa Sudan kaziacha ebu fanya mambo mengne usitembee unalala umekaaa mawazo yako ni utetez ujinga tu na kujitoa unaham
 
Stand Nzuri Sana Kuliko Zote Tanzania Itajengwa Chatter
Itakuwa Na Miundombinu Ya Kisasa Na Ghorofa
 
Nimeshangaa pia, yaani inaonekana tathimini ya gharama za Ujenzi na za fidia itafanyika baada ya kuwa wameshapokea mkopo toka bank.
Inavyoonekana hata BoQ bado haipo achilia mbali ramani kwa hiyo huo mradi unaweza kukwama kama hawakuweka mahesabu vizuri maana kulipa fidia ambayo bado haijakadiriwa huwa ni mtihani .Lakini ni jambo zuri kupanua hiyo stand maana ni ndogo sana haiendani na magari yaliyopo kwa sasa na ni mradi mkubwa kwa halmashauri wa kutengeneza hela ambazo zinaweza kusaidia shughuli za kijamii
 
Ujenzi wa stand hii uliishia wapi??? Siku, wiki, miezi ni miaka sasa inapita imekua ni kama porojo tu
 
Back
Top Bottom