Naona watu mnafikia conclusion ilhali mhusika hajasema hata ku-insinuate kuwa kashampa jamaa.. Na tuache unafiki kutamani wengine tofauti na mwenzi wako ni jambo la kawaida sana! Ishu ipo kwenye kuzifanyia kazi hizo tamaa ndio kosa..
Kuwa makini sana ms curves..
true that! utuzoee tu mpendwaThank you!! Maana naona majority humu ni wachungaji na malaika mi nawaza tu kwa sauti...
But its not far from reality! Uwe muwazi ili upate ushauri wa kueleweka.U guys lakini ni wapi nimesema nimempa? Or made comparison? Wapi nimesema au admit/insinuate kuwa nataka tena na tena? U guys mnajump into conclussion too much bana
Poa poa CGSawa jose wangu