Stand By...

Kweli,malaya malaya tu...hata ukimuita mke.
 
Namuonea huruma sana huyo mume wako,naomba sana mke wangu mtarajiwa asijekuwa kama ww...
 
sasa hata ukipiga unafikiri itasaidia nini? kwakifupi umempa jamaa wa pembeni access kabisaaaa. Sijui kwanini mko hivi, kwani kuna sehemu yeyote niliyosema nishatoa? povu jiiiiingi...chillax
Kwa hiyo ukampa, ukijua ku cheat ni no strings attach, hakuna feelings!

....ila kwa kuwa huyo jamaa ni smart and intelligent kuliko mumeo, na mumeo hakuridhishi baada ya kumuonjesha umekuta una fall na unataka tena na tena na hutaki kumsikia mumeo tena!

Ndio point yako?
 
U guys lakini ni wapi nimesema nimempa? Or made comparison? Wapi nimesema au admit/insinuate kuwa nataka tena na tena? U guys mnajump into conclussion too much bana
 
Nikisoma thread kama hizi huwa nawaza mambo mengi sana.

Kifupi tu, mnatukatisha tamaa kuingia kwenye ndoa (sisi ambao bado).

Mpaka sasa hivi ndoa ni non priority kwangu, and it's all thanks to people like you madame!
 
Nilipoona neno "STAND BY" nikakimbia haraka kuwa ni 'standby generator' kumbe siyo.
Umeyataka mwenyewe vumilia mishale, ila kwa uzoefu wangu tayari umeto.........mbwa japo huwezi kukubali na kama utaendelea hivi hivi ndoa yako ipo matatani.
 
Kutamani kwa binadamu ni kawaida sana...

Cha muhimu kaa mbali na huyo jamaa ili usije ingia vishawishi ambavyo unaweza kuja jutia baadae...


Cc: mahondaw
 
Nikisoma thread kama hizi huwa nawaza mambo mengi sana.

Kifupi tu, mnatukatisha tamaa kuingia kwenye ndoa (sisi ambao bado).

Mpaka sasa hivi ndoa ni non priority kwangu, and it's all thanks to people like you madame!

Your life is not determined by someone else's actions, live your truth and do you la sivyo utapitwa na mengi mazuri.
 
Nilipoona neno "STAND BY" nikakimbia haraka kuwa ni 'standby generator' kumbe siyo.
Umeyataka mwenyewe vumilia mishale, ila kwa uzoefu wangu tayari umeto.........mbwa japo huwezi kukubali na kama utaendelea hivi hivi ndoa yako ipo matatani.

Huo uzoefu Kila mtu anao humu! Sijui mliupatia wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…