Stamani kumuoa tena !

Stamani kumuoa tena !

Msamehe mlee mtoto wenu, mpe nafasi nyingine alikuwa hajui mambo ya ndani ya ndoa ni siri, na uzur ametambua kosa lake na ameomba msamaha.
 
Tutupie hata kanamba basi tusemezane naye. Kama weye ukisusa, wenzio twala. Mkeo keshagundua kosa lake, akajua ya home kuyamwaga nje si akili. Umesema kakuomba msamaha, sasa weye toto jinga unasema ati Staki hata kumwona. Mwache, ila tupe namba yake siye mabingwa wa kuokota.
 
Mim nilidhani hizo hela za mahitaji anapewa na mwanaume mwingine....Mkeo ajifunze kuweka siri siyo lazima ndugu zake wajue kila kitu...
 
Usimpe ruhusa ya kwenda kwao kwa sasa, mdogo wake mpe wanted kufika kwako. Msahamehe.
 
Pole sana kw hayo yote..., Decision Maker ni ww.., hakuna mwingine, maana mwenye maumivu ni ww! So tulia, tafakari wapi mlipotoka.., wapi mmepanga nae mfike kimaisha. Ktk Maisha misukosuko haikosekani!
Mpe nafasi umsikilize, ili uje fanya uamuzi wa Busara.. Ambao hautakuja kuujutia hapo baadae!
 
@ na wewe unajiita mwanaume, waja kuomba ushaur MMU, kwa kosa lipi hasa ambalo we umeshindwa kukaa nae chin na kulitatua?? hasira kitu gan wewe? unaonekana si mvumilivu sana! matatizo mengine kama hayo inabid umalizane wewe na mwenza wako.. THINK BIG MAN.
 
Mlikoko kwenye ndoa hebu muelimisheni kijana wenu,maana inaonekana hajakomaa
 
Mkiishi wote kukosana lazima,hata majembe hugongana stoo
 
Kwako inaweza isiwe sababu kwangu sababu. Mbwage tu, maiaha yenyewe mafupi haya. Mtoto kitu gani hata mahausgel watalea. Kuendekezana huku.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
muoe bana vip kwan nini tatizo kubwa hapo
 
Naona solange kashafanya yake kwa Jigga, Bey anatizama tuuu
 
Utaweza kweli ndoa??? Kama changamoto kama hii inakuyumbisha?mpaka wafikia hitimisho la kuachana?kumbuka ndoa si lelemama
 
Mmmmhh!!Kosa la kusameheka na mtu kishajua alipoteleza kwako nongwa?Kweli waoaji siku hizi hakuna!
 
Huyu ni mtoto, sio mwanaume bwana. Yaani wewe umnunie wife wako afu akakusemelezee 'kwenu'? Na wewe ukiulizwa kwenu unajisemelesha eti sijanuna? Hahahaha
Kweli idadi ya wanaume inazidi kupunguwa kwakweli.
 
Back
Top Bottom