Stahiki zako baada ya ajira

Stahiki zako baada ya ajira

Hta cent?
Malipo yako yote unayodai kama likizo na basic salary after termination yako subjected to makato ya kodi na NSSF kama kawaida.

Malipo yasiyo na makato ni nauli kama unatakiwa kulipwa.

Na ndio maana hata baada ya termination, ukienda NSSF kufungua Withdrawal claims watakwambia usuburie mwezi mmoja.

Huo mwezi mmoja, maana yake kuna pesa zako nyingine kutoka kwenye hayo makato ya mwisho zitatakiwa kupelekwa.

Soma sheria ya Ajira na mahusiano kazini, mtu pekee anayepewa kiinua mgongo ni yule aliyestaafu au amefikia mwisho wa mkataba. Ukifukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu hakuna kiinua mgongo utapata
 
Back
Top Bottom