Side buggati
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 219
- 175
Wakurungwa naomben msaada kwahili limenistua kidogo najua humu kuna weng wanaojua sheria na wengine wanaexperiance na haya mambo.kuna ofisi moja nilikuwa nafanya Kaz sasa wamenipa termination letter kutokana na utovu wa nizamu lakin ninastahik zangu na kama rikizo nadai 8 na basic yng ya kunisitisha ajira lakin anayehusika na kutoa pesa ameniambia hizi pesa zako utopata zote utakatwa kodi na nssf watakukata swali la kwanza liko hapa ajira yangu imesitizwa sasa inakuaje wanikate nssf na michango yangu ndo ukomo wake
(2)swali la pili kivip wananiambia sitolipwa kiinua mgongo kisa nmefukuzwa kaz sijaacha mwenyewe naomben wataalimu mulichambue ili nipate haki zangu
(2)swali la pili kivip wananiambia sitolipwa kiinua mgongo kisa nmefukuzwa kaz sijaacha mwenyewe naomben wataalimu mulichambue ili nipate haki zangu