Staff members wa JF waliopo online

😹😹 Kuna muda anaboa ila 🀣

Nilikula ban kila nikimuelezea hiyo ban nimepewa kimakosa hanielewi, mpk nilimuomba link ya staff nikajitolee ban mwenyewe aliishia kucheka..!!
KUna kipindi pale katikati mwaka jana alinifululizia ban hadi sio poa,. Ikabidi niwe tu mpole sikuwa na namnaπŸ€’πŸ€’
 
Ila ni jamaa yangu mzuri tu maana kuna mda huwa naona reacts zake za emoji za kucheka kwenye posts zangu 😁, Kama itampendeza namuomba akomenti hata kidogo ,
Mie labda Maxence Melo ndio naonaga anakuwa serious mtu ukiwa na changamoto ila hawa wengine wanajivuta sana tofauti na wanavyokuwaga chap kwenye kutoa Ban
 
Samahani,si wengine ni wageni kidogo humu,unaposema staff members,je wamaanisha wafanyakazi wa jf??au tulojiunga humu?! Na je staff anaweza kuwa na titles kama expert member,platinum member nk?
 
Watajuana wenyewe huko na anayewalipa mshahara
Watakupiga ban hao shauriyako moja ya kazi inayowalipa vizuri ni kupiga watu ban yaan ukimtia mtu ban kuna bonus ni sawa na ukiambiwa wanafunzi wakipiga A kuna bonus ya malipo kwa hio wakitoka wanahesabu leo wameondoka na ban ngapi chapu wanaenda kuomba bonus yao ya malipo ban ni dili
 
Do i look like i care??,.
MIe ban wanipige chamsingi wanipe na sababu ya kueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…