Stadi za kazi

Unavitengenezea kitu gani? i meant unatumia hivyo "Visoda" kutengeneza bidhaa gani?
Yaani unaokota visoda vingi kiasi, unatafuta kamba na msumari
sasa unaanza kuvitoboa visoda vyote kwa msumari baada ya hapo unaviingiza kwenye hiyo kamba kimojakimoja unapata kitu kama cheni, unavivaa shingoni unaweza kutumia hata kuhesabia
 
Hahahaa! umenikumbusha mbali sana aisee! hii kitu nilikua nimeshaisahau,tulitumia sana Shuleni kwenye somo la hesabu enzi zile,pia hata vijiti vilitumika katika kujifundishia hesabu.
 
Malegend tuliokuwa hatuna muda tulikuwa tunatumia vijiwe vidogo vidogo vya moramu. Baada ya kufanya hesabu, vijiwe na legend vinakula 50 zao(vinatupwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…